Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 4:30-31

Kumbukumbu la Sheria 4:30-31 BHN

Mambo haya yote yatakapowapata huko baadaye, mkapata taabu, mtamrudia Mwenyezi-Mungu na kumtii. Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ni Mungu mwenye rehema, hatawaacheni wala kuwaangamiza, wala kusahau agano ambalo alifanya na wazee wenu kwa kiapo.