Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 13:2-3

Matendo 13:2-3 NENO

Walipokuwa wakimwabudu Mwenyezi Mungu na kufunga, Roho Mtakatifu wa Mungu akasema, “Nitengeeni Sauli na Barnaba kwa kazi niliyowaitia.” Ndipo baada ya kufunga na kuomba, wakawawekea mikono yao na wakawatuma waende zao.

Video ya Matendo 13:2-3