Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 12:7

Matendo 12:7 NENO

Ghafula malaika wa Bwana akatokea, na nuru ikamulika mle ndani ya gereza. Yule malaika akampiga Petro ubavuni na kumwamsha, akisema, “Ondoka upesi!” Mara ile minyororo ikaanguka kutoka mikononi mwa Petro.