Matendo 12:7
Matendo 12:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Ghafla, malaika wa Bwana akasimama karibu naye na mwanga ukaangaza kile chumba cha gereza. Malaika akamgusa ubavuni akamwamsha akisema, “Ondoka upesi!” Mara ile minyororo iliyomfunga mikono ikakatika na kuanguka chini.
Shirikisha
Soma Matendo 12Matendo 12:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mara malaika wa Bwana akasimama karibu naye, nuru ikamulika mle chumbani, akampiga Petro ubavuni, akamwamsha, akisema, Ondoka upesi. Minyororo yake ikamwanguka mikononi.
Shirikisha
Soma Matendo 12