1
Waroma 10:9
Swahili Roehl Bible 1937
SRB37
Kwani ukiungama kwa kinywa chako kwamba: BWANA NI YESU, ukamtegemea kwa moyo wako kwamba: Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
Linganisha
Chunguza Waroma 10:9
2
Waroma 10:10
Kwani ukimtegemea kwa moyo unapata wongofu; ukimwungama kwa kinywa unaokoka.
Chunguza Waroma 10:10
3
Waroma 10:17
Basi, kumtegemea Mungu huletwa na matangazo, lakini matangazo hutoka katika Neno la Kristo.
Chunguza Waroma 10:17
4
Waroma 10:11-13
Kwani Maandiko yasema: Kila anayemtegemea hatatwezeka. Kwani hapa hawachaguliwi Wayuda na Wagriki; kwani aliye Bwana wao wote ni yuyu huyu mmoja, ni mwenye magawio yanayowatoshea wote wanaomtambikia. Kwani; Kila atakayelitambikia Jina la Bwana ataokoka.
Chunguza Waroma 10:11-13
5
Waroma 10:15
Tena watatangazaje, wasipotumwa? Ndivyo ilivyoandikwa: Tazameni, miguu yao wapiga mbiu njema jinsi inavyopendeza!*
Chunguza Waroma 10:15
6
Waroma 10:14
Basi, watamtambikiaje, wasiyemtegemea? Tena watamtegemeaje, ambaye hawajamsikia Neno lake? Tena watasikiaje, pasipokuwapo mwenye kutangaza?
Chunguza Waroma 10:14
7
Waroma 10:4
Kwani timilizo la Maonyo ni Kristo, kila mwenye kumtegemea ajipatie wongofu!
Chunguza Waroma 10:4
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video