Waroma 10:14
Waroma 10:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, watamwombaje yeye ambaye hawamwamini? Tena, watamwaminije kama hawajapata kusikia habari zake? Na watasikiaje habari zake kama hakuna mhubiri?
Shirikisha
Soma Waroma 10Waroma 10:14 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Lakini watamwitaje yeye ambaye hawajamwamini? Nao watawezaje kumwamini yeye ambaye hawajamsikia? Tena watamsikiaje bila mtu kuwahubiria?
Shirikisha
Soma Waroma 10Waroma 10:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, watamwombaje yeye ambaye hawamwamini? Tena, watamwaminije kama hawajapata kusikia habari zake? Na watasikiaje habari zake kama hakuna mhubiri?
Shirikisha
Soma Waroma 10Waroma 10:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi wamwiteje yeye wasiyemwamini? Tena wamwaminije yeye wasiyemsikia? Tena wamsikieje pasipo mhubiri?
Shirikisha
Soma Waroma 10