1
Mateo 25:40
Swahili Roehl Bible 1937
SRB37
Naye mfalme atawajibu akisema: Kweli nawaambiani: Yote, mliyomtendea mwenzao mmoja wa hawa ndugu zangu wadogo, mlinitendea mimi.
Linganisha
Chunguza Mateo 25:40
2
Mateo 25:21
Bwana wake akamwambia: Vema, wewe mtumwa mwema na mwelekevu, ulikuwa mwelekevu wa machache, nitakupa kutunza mengi. Ingia penye furaha ya bwana wako!
Chunguza Mateo 25:21
3
Mateo 25:29
Kwani kila mwenye mali atapewa, ziwe nyingi zaidi; lakini asiye na kitu atachukuliwa hata kile, alicho nacho.
Chunguza Mateo 25:29
4
Mateo 25:13
Kwa hiyo kesheni! Kwani hamwijui siku wala saa, Mwana wa mtu atakapojia.*
Chunguza Mateo 25:13
5
Mateo 25:35
Kwani nilipokuwa na njaa, mlinipa chakula; nilipokuwana kiu, mlininywesha; nilipokuwa mgeni, mlinipokea
Chunguza Mateo 25:35
6
Mateo 25:23
Chunguza Mateo 25:23
7
Mateo 25:36
nilipokuwa uchi, mlinivika; nilipokuwa mgonjwa, mlinikagua; nilipokuwa kifungoni mlinijia.
Chunguza Mateo 25:36
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video