Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 25:36 - Compare All Versions

Mathayo 25:36 BHN (Biblia Habari Njema)

nilikuwa uchi, mkanivika; nilikuwa mgonjwa nanyi mkaja kunitazama; nilikuwa gerezani nanyi mkaja kunitembelea.’

Shirikisha
Mathayo 25 BHN

Mathayo 25:36 SRUV (Swahili Revised Union Version)

nilikuwa uchi, mkanivika nilikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama; nilikuwa kifungoni, mkanijia.

Shirikisha
Mathayo 25 SRUV

Mathayo 25:36 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

nalikuwa uchi, mkanivika nalikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama; nalikuwa kifungoni, mkanijia.

Shirikisha
Mathayo 25 SUV

Mathayo 25:36 NEN (Neno)

nilikuwa uchi mkanivisha nguo, nilikuwa mgonjwa mkanitunza, nami nilikuwa kifungoni mkaja kunitembelea.’

Shirikisha
Mathayo 25 NEN