1
Warumi 14:17-18
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Maana ufalme wa Muugu si kula na kunywa, bali baki na amani na furaha katika Roho Mtakatifu. Kwa kuwa yeye amtumikiae Kristo katika mambo haya humpendeza Mungu, tena hukubaliwa na wana Adamu.
Linganisha
Chunguza Warumi 14:17-18
2
Warumi 14:8
Kwa maana kama tukiishi, twaishi kwa Bwana, au kama tukifa, twafa kwa Bwana. Bassi kama tukiishi au kama tukifa, tu mali ya Bwana.
Chunguza Warumi 14:8
3
Warumi 14:19
Bassi kama ni hivyo, tufuate mambo ya amani na mambo yafaayo kwa kujengana.
Chunguza Warumi 14:19
4
Warumi 14:13
Bassi tusizidi kuhukumiana, bali afadhali mtoe hukumu hii, ndugu asitiwe kitu cha kumkwaza au cha kumwangusha.
Chunguza Warumi 14:13
5
Warumi 14:11-12
Kwa maana imeandikwa, Kwa uhayi wangu, anena Bwana, magoti yote yatapigwa mbele zangu, Na ndimi zote zitamkiri Mungu. Bassi kama ni hivyo, killa mtu miongoni mwetu atatoa khabari za nafsi yake mbele za Mungu.
Chunguza Warumi 14:11-12
6
Warumi 14:1
LAKINI yeye aliye dhaifu wa imani, mkaribisheni, illakini msimhukumu mawazo yake.
Chunguza Warumi 14:1
7
Warumi 14:4
Wewe u nani unaemhukumu mtumishi wa mwingine? Kwa Bwana wake mwenyewe husimama au huanguka. Naam, atasimamishwa, maana Bwana aweza kumsimamisha.
Chunguza Warumi 14:4
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video