1
Warumi 15:13
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Bassi Mungu wa tumaini awajazeni furaha yote na amani katika kuamini, mpate kuzidi sana kuwa na tumaini, katika nguvu za Roho Mataktifu.
Linganisha
Chunguza Warumi 15:13
2
Warumi 15:4
Kwa kuwa yote yaliyotangulia kuandikwa yaliandikwa kutufundisha sisi, illi kwa uvumilivu na faraja ya maandiko tupate kuwa na tumaini.
Chunguza Warumi 15:4
3
Warumi 15:5-6
Na Mungu mwenye uvumilivu na faraja awajalieni kunia mamoja ninyi kwa ninyi, kwa namna ya Yesu Kristo; illi kwa moyo mmoja na kwa kinywa kimoja mpate kumtukuza Mungu, Baba wa liwima wetu Yesu Kristo.
Chunguza Warumi 15:5-6
4
Warumi 15:7
Kwa hiyo mkaribishane, kama nae Kristo alivyotukaribisha, illi Mungu atukuzwe.
Chunguza Warumi 15:7
5
Warumi 15:2
Killa mtu miongoni mwetu ampendeze jirani yake apate wema akajengwe.
Chunguza Warumi 15:2
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video