1
Mithali 27:17
Neno
NEN
Kama vile chuma kinoavyo chuma, ndivyo mtu amnoavyo mwenzake.
Linganisha
Chunguza Mithali 27:17
2
Mithali 27:1
Usijisifu kwa ajili ya kesho, kwa kuwa hujui ni nini kitakachozaliwa kwa siku moja.
Chunguza Mithali 27:1
3
Mithali 27:6
Majeraha kutoka kwa rafiki yaonesha uaminifu, lakini adui huzidisha busu.
Chunguza Mithali 27:6
4
Mithali 27:19
Kama uso uonekanavyo kwenye maji, ndivyo hivyo moyo wa mtu humwonesha alivyo.
Chunguza Mithali 27:19
5
Mithali 27:2
Mwache mwingine akusifu, wala si kinywa chako mwenyewe; mtu mwingine afanye hivyo na si midomo yako mwenyewe.
Chunguza Mithali 27:2
6
Mithali 27:5
Afadhali karipio la wazi kuliko upendo uliofichika.
Chunguza Mithali 27:5
7
Mithali 27:15
Mke mgomvi ni kama matone yasiyokoma siku ya mvua.
Chunguza Mithali 27:15