1
Mithali 26:4-5
Neno
NEN
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, ama wewe mwenyewe utakuwa kama yeye. Mjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, ama atakuwa mwenye hekima machoni pake mwenyewe.
Linganisha
Chunguza Mithali 26:4-5
2
Mithali 26:11
Kama mbwa ayarudiavyo matapiko yake, ndivyo mpumbavu arudiavyo upumbavu wake.
Chunguza Mithali 26:11
3
Mithali 26:20
Bila kuni moto huzimika; pasipo uchongezi ugomvi humalizika.
Chunguza Mithali 26:20
4
Mithali 26:27
Mtu akichimba shimo, atatumbukia ndani yake; mtu akivingirisha jiwe, litamrudia.
Chunguza Mithali 26:27
5
Mithali 26:12
Je, unamwona mtu ajionaye mwenye hekima machoni pake mwenyewe? Liko tumaini zaidi kwa mpumbavu kuliko kwake.
Chunguza Mithali 26:12
6
Mithali 26:17
Kama yeye amkamataye mbwa kwa masikio, ndivyo alivyo mtu apitaye njiani na kujiingiza kwenye ugomvi usiomhusu.
Chunguza Mithali 26:17