Methali 27:2
Methali 27:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Acha watu wengine wakusifu, kuliko mdomo wako wewe mwenyewe.
Shirikisha
Soma Methali 27Methali 27:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwingine na akusifu wala si kinywa chako mwenyewe; Mtu mgeni wala si midomo yako wewe.
Shirikisha
Soma Methali 27