1
2 Wakorintho 13:5
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Jichunguzeni wenyewe mwone kama mnaishi katika imani. Jipimeni wenyewe. Je, hamtambui ya kuwa Yesu Kristo yu ndani yenu? Kama sivyo, basi, mmeshindwa kufikia kipimo hicho!
Linganisha
Chunguza 2 Wakorintho 13:5
2
2 Wakorintho 13:14
Neema ya Bwana Yesu Kristo, na upendo wa Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote.
Chunguza 2 Wakorintho 13:14
3
2 Wakorintho 13:11
Hatimaye, ndugu zangu, kwaherini. Kuweni wakamilifu, farijianeni, kuweni na nia moja, na mkae kwa amani. Naye Mungu wa upendo na amani atakuwa pamoja nanyi.
Chunguza 2 Wakorintho 13:11
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video