2 Wakorintho 13:5
2 Wakorintho 13:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jichunguzeni wenyewe muone kama mmekuwa katika imani; jithibitisheni wenyewe. Au hamjijui wenyewe, kwamba Yesu Kristo yu ndani yenu? Isipokuwa iwe mmekataliwa.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 132 Wakorintho 13:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Jichunguzeni nyinyi wenyewe mpate kujua kama kweli mnayo imani. Jichunguzeni nyinyi wenyewe. Je, hamjui kwamba Kristo Yesu yumo ndani yenu? Kama sivyo, basi nyinyi mmeshindwa.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 132 Wakorintho 13:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jichunguzeni wenyewe muone kama mmekuwa katika imani; jithibitisheni wenyewe. Au hamjijui wenyewe, kwamba Yesu Kristo yu ndani yenu? Isipokuwa iwe mmekataliwa.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 13