2 Wakorintho 13:11
2 Wakorintho 13:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa sasa, ndugu, kwaherini! Muwe na ukamilifu, shikeni mashauri yangu, muwe na nia moja; kaeni kwa amani. Naye Mungu wa upendo na amani atakuwa pamoja nanyi.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 132 Wakorintho 13:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hatimaye, ndugu, kwaherini; mtimilike, mfarijike, nieni mamoja, mkae katika amani; na Mungu wa upendo na amani atakuwa pamoja nanyi.
Shirikisha
Soma 2 Wakorintho 13