YouVersion Logo
Search Icon

Miujiza ya Yesu: Kufunua Utambulisho Wake wa Kiuungu

Miujiza ya Yesu: Kufunua Utambulisho Wake wa Kiuungu

9 Days

Chunguza miujiza ya Yesu, kila mmojawapo ukidhihirisha utambulisho wake kama Mwana wa Mungu. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.

Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg