YouVersion Logo
Search Icon

INJILI ULIMWENGUNI - SEHEMU YA KUMI NA TATU

INJILI ULIMWENGUNI - SEHEMU YA KUMI NA TATU

4 Days

Mfuatano huu ni kusanyiko la hadithi kuhusu maisha Kristo itakayoshirikisha watazamaji wote ulimwenguni kwa kutumia mchanganyiko wa kuona na sauti. Maisha na mafundisho ya Yesu yalidhihirishwa katika kitabu hiki cha hadithi ambacho kinafuata masimulizi ya Agano Jipya yanayopatikana katika vitabu vya Injili vya Mathayo, Marko, Luka, na Yohana

Tunapenda kumshukuru Gnpi-Africa kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://gnpi-africa.org

About The Publisher

YouVersion uses cookies to personalize your experience. By using our website, you accept our use of cookies as described in our Privacy Policy