YouVersion Logo
Search Icon

Zaburi 2:2-3

Zaburi 2:2-3 BHN

Wafalme wa dunia wanajitayarisha; watawala wanashauriana pamoja, dhidi ya Mwenyezi-Mungu na mteule wake. Wanasema: “Tujiondoe katika utawala wao; tutupilie mbali minyororo yao!”

Free Reading Plans and Devotionals related to Zaburi 2:2-3