YouVersion Logo
Search Icon

Zaburi 18:1-2

Zaburi 18:1-2 BHN

Nakupenda, ee Mwenyezi-Mungu, nguvu yangu! Mwenyezi-Mungu ni mwamba wangu, ngome yangu na mkombozi wangu; Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia usalama; ngao yangu, nguvu za wokovu wangu na ngome yangu.

Verse Images for Zaburi 18:1-2

Zaburi 18:1-2 - Nakupenda, ee Mwenyezi-Mungu, nguvu yangu!
Mwenyezi-Mungu ni mwamba wangu,
ngome yangu na mkombozi wangu;
Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia usalama;
ngao yangu, nguvu za wokovu wangu na ngome yangu.Zaburi 18:1-2 - Nakupenda, ee Mwenyezi-Mungu, nguvu yangu!
Mwenyezi-Mungu ni mwamba wangu,
ngome yangu na mkombozi wangu;
Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia usalama;
ngao yangu, nguvu za wokovu wangu na ngome yangu.