YouVersion Logo
Search Icon

Zaburi 116:8-9

Zaburi 116:8-9 BHN

Ameniokoa kifoni na kufuta machozi yangu; akanilinda nisije nikaanguka. Nitatembea mbele yake Mwenyezi-Mungu, katika nchi ya watu walio hai.