YouVersion Logo
Search Icon

Methali 1:32-33

Methali 1:32-33 BHN

Maana wajinga hujiua kwa ukaidi wao, wapumbavu hujiangamiza kwa kujiamini kwao. Lakini kila anisikilizaye atakaa salama, atatulia bila kuogopa mabaya.”