YouVersion Logo
Search Icon

Mathayo 15:25-27

Mathayo 15:25-27 BHN

Hapo huyo mama akaja, akamsujudia, akasema, “Bwana, nisaidie.” Yesu akamjibu, “Si vizuri kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.” Huyo mama akajibu, “Ni kweli, Bwana; lakini hata mbwa hula makombo yanayoanguka kutoka meza ya bwana wao.”

Free Reading Plans and Devotionals related to Mathayo 15:25-27