YouVersion Logo
Search Icon

Mathayo 15:18-19

Mathayo 15:18-19 BHN

Lakini mambo yatokayo kinywani hutoka moyoni, na hayo ndiyo yanayomtia mtu unajisi. Maana moyoni hutoka mawazo ya uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na kashfa.