YouVersion Logo
Search Icon

Waamuzi 11:30-31

Waamuzi 11:30-31 BHN

Yeftha akamwapia Mwenyezi-Mungu akisema, “Kama utawatia Waamoni mikononi mwangu, basi, yeyote atakayetoka nje kutoka nyumbani mwangu kuja kunilaki nitakapokuwa narudi baada ya kuwashinda Waamoni, huyo atakuwa wako wewe Mwenyezi-Mungu. Huyo nitakutolea sadaka ya kuteketezwa.”

Video for Waamuzi 11:30-31

Free Reading Plans and Devotionals related to Waamuzi 11:30-31