YouVersion Logo
Search Icon

Kumbukumbu la Sheria 28:12

Kumbukumbu la Sheria 28:12 BHN

Mwenyezi-Mungu atawafungulieni hazina yake nzuri kutoka mbinguni na kunyesha mvua katika nchi kwa wakati wake, na kubariki kazi zenu. Mtayakopesha mataifa mengi, lakini nyinyi hamtakopa.

Free Reading Plans and Devotionals related to Kumbukumbu la Sheria 28:12