YouVersion Logo
Search Icon

Kumbukumbu la Sheria 2:7

Kumbukumbu la Sheria 2:7 BHN

“Basi, kumbukeni jinsi Mwenyezi-Mungu Mungu wenu alivyowabariki katika kila jambo mlilofanya. Aliwatunza mlipokuwa mnatangatanga katika jangwa hili kubwa. Amekuwa pamoja nanyi miaka hii yote arubaini na hamkupungukiwa kitu chochote.

Free Reading Plans and Devotionals related to Kumbukumbu la Sheria 2:7