YouVersion Logo
Search Icon

Zaburi 77:11-12

Zaburi 77:11-12 BHND

Nitayakumbuka matendo yako, ee Mwenyezi-Mungu, naam, nitayafikiria maajabu yako ya hapo kale. Nitatafakari juu ya kazi zako, na kuwaza juu ya matendo yako makuu.

Video for Zaburi 77:11-12

Verse Image for Zaburi 77:11-12

Zaburi 77:11-12 - Nitayakumbuka matendo yako, ee Mwenyezi-Mungu,
naam, nitayafikiria maajabu yako ya hapo kale.
Nitatafakari juu ya kazi zako,
na kuwaza juu ya matendo yako makuu.

Free Reading Plans and Devotionals related to Zaburi 77:11-12