YouVersion Logo
Search Icon

Zaburi 141:1-2

Zaburi 141:1-2 BHND

Nakuita, ee Mwenyezi-Mungu, uje haraka kunisaidia! Uisikilize sauti yangu wakati ninapokuita! Sala yangu uipokee kama ubani; niinuapo mikono yangu kwako unikubali kama tambiko ya jioni.