YouVersion Logo
Search Icon

Methali 6:16-19

Methali 6:16-19 BHND

Kuna vitu sita anavyochukia Mwenyezi-Mungu; naam, vitu saba ambavyo ni chukizo kwake: Macho ya kiburi, ulimi mdanganyifu, mikono inayoua wasio na hatia, moyo unaopanga mipango miovu, miguu iliyo mbioni kutenda maovu, shahidi wa uongo abubujikaye uongo, na mtu achocheaye fitina kati ya ndugu.

Verse Image for Methali 6:16-19

Methali 6:16-19 - Kuna vitu sita anavyochukia Mwenyezi-Mungu;
naam, vitu saba ambavyo ni chukizo kwake:
Macho ya kiburi,
ulimi mdanganyifu,
mikono inayoua wasio na hatia,
moyo unaopanga mipango miovu,
miguu iliyo mbioni kutenda maovu,
shahidi wa uongo abubujikaye uongo,
na mtu achocheaye fitina kati ya ndugu.