YouVersion Logo
Search Icon

Mathayo 5:15-16

Mathayo 5:15-16 BHND

Wala watu hawawashi taa na kuifunika kwa debe, ila huiweka juu ya kinara ili iwaangazie wote waliomo nyumbani. Vivyo hivyo, ni lazima mwanga wenu uangaze mbele ya watu, ili wayaone matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.

Free Reading Plans and Devotionals related to Mathayo 5:15-16