YouVersion Logo
Search Icon

Mateo 5:11-12

Mateo 5:11-12 SRB37

Nanyi mtakuwa wenye shangwe, watu watakapowatukana na kuwafukuza na kuwasingizia maneno mabaya yo yote yaliyo ya uwongo kwa ajili yangu mimi. Furahini na kushangilia! Kwani mshahara wenu ni mwingi mbinguni. Kwani ndivyo, walivyowafukuza wafumbuaji waliowatangulia.*