YouVersion Logo
Search Icon

5 Mose 8:7-9

5 Mose 8:7-9 SRB37

Kwani Bwana Mungu wako ndiye atakayekuingiza katika nchi hiyo njema iliyo nchi yenye vijito na visima na viziwa vya maji yatokeayo mabondeni na vilimani. Ni nchi yenye ngano na mawele na mizabibu na mikuyu na mikomamanga, ni nchi yenye michekele iletayo mafuta, nazo asali ziko. Ni nchi, utakakokula chakula na kushiba sana, kwani hutakosa cho chote; ni nchi yenye mawe ya chuma, nazo shaba utazichimbua ndani ya milima yake.

Free Reading Plans and Devotionals related to 5 Mose 8:7-9