YouVersion Logo
Search Icon

Matendo ya Mitume 28:26-27

Matendo ya Mitume 28:26-27 SRB37

Nenda kwao wa ukoo huu, useme: Kusikia mtasikia, lakini hamtajua maana; Kutazama mtatazama, lakini hamtaona. Kwani mioyo yao walio ukoo huu imeshupazwa, wasisikie kwa masikio yao yaliyo mazito, nayo macho yao wameyasinziza, wasije wakaona kwa macho yao, au wakasikia kwa masikio yao, au wakajua maana kwa mioyo yao, wakanigeukia, nikawaponya.

Free Reading Plans and Devotionals related to Matendo ya Mitume 28:26-27