Warumi 14:11-12
Warumi 14:11-12 SWZZB1921
Kwa maana imeandikwa, Kwa uhayi wangu, anena Bwana, magoti yote yatapigwa mbele zangu, Na ndimi zote zitamkiri Mungu. Bassi kama ni hivyo, killa mtu miongoni mwetu atatoa khabari za nafsi yake mbele za Mungu.





