Warumi 10:11-13
Warumi 10:11-13 SWZZB1921
Kwa maana andiko lanena, Killa amwaminiye hatatahayarika. Kwa maana hapana tofanti ya Myahudi na Myunani; maana yeye yule ni Bwana wa wote, mwenye utajiri wa kufaa watu wote wamwitiao; kwa kuwa killa atakaemwita Bwana kwa Jina lake ataokoka.





