YouVersion Logo
Search Icon

Warumi 1:26-28

Warumi 1:26-28 SWZZB1921

Kwa hiyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hatta wanawake wakahadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili: wanaume vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume kwa wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao. Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wuyafanye yasiyowapasa