YouVersion Logo
Search Icon

Warumi 1:22-23

Warumi 1:22-23 SWZZB1921

wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika, wakaubadili utukufu wa Mungu asiye ua uharibifu kwa mfano wa sura ya bin-Adamu aliye ua uharibifu, na ya nyama wenye mbawa, na ya nyama wenye miguu mine, na ya nyama watambaao.