YouVersion Logo
Search Icon

Matendo 26:17-18

Matendo 26:17-18 SWZZB1921

nikikuokoa na watu wako, na watu wa mataifa, ambao nakutuma kwao; uwafumhue macho yao, waiache giza na kuielekea nuru, na waziache nguvu za Shetani na kumwelekea Mungu, na wapate masamaha ya dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu.

Free Reading Plans and Devotionals related to Matendo 26:17-18