YouVersion Logo
Search Icon

Matendo 15:8-9

Matendo 15:8-9 SWZZB1921

Na Mungu, ajuae mioyo ya watu, akawashuhudia, akiwapa Roho Mtakatifu vilevile kama alivyotupa sisi; wala hakufanya tofauti kati yetu sisi na wao, akiwasafisha mioyo yao kwa imani.

Free Reading Plans and Devotionals related to Matendo 15:8-9