YouVersion Logo
Search Icon

1 Wakorintho 5:7

1 Wakorintho 5:7 SWZZB1921

Bassi, jisafisheni, mkatoe ile chachu ya kale, illi mwe donge jipya, kama vule mlivyo hamkutiwa chachu. Kwa maana Pasaka yetu amekwisha kutolewa sadaka kwa ajili yetu, yaani Kristo