YouVersion Logo
Search Icon

Mithali 8:10-11

Mithali 8:10-11 RSUVDC

Pokea mafundisho yangu, wala si fedha, Na maarifa kuliko dhahabu safi. Maana hekima ni bora kuliko marijani; Wala vyote vinavyotamanika havilingani nayo.