YouVersion Logo
Search Icon

Mithali 2:16-17

Mithali 2:16-17 RSUVDC

Ili kuokoka na malaya, Naam, malaya mwenye kubembeleza kwa maneno yake; Amwachaye rafiki wa ujana wake, Na kulisahau agano la Mungu wake.