Yoshua 8:1
Yoshua 8:1 RSUVDC
Kisha BWANA akamwambia Yoshua, Usiogope, wala usifadhaike; wachukue askari wako wote waende pamoja nawe, nanyi inukeni, mwende Ai, angalia, mimi nimemtia mkononi mwako huyo mfalme wa Ai, na watu wake, na mji wake, na nchi yake