YouVersion Logo
Search Icon

Mathayo 24:9-11

Mathayo 24:9-11 SCLDC10

“Kisha watawatoeni ili mteswe na kuuawa. Mataifa yote yatawachukieni kwa sababu ya jina langu. Tena, wengi wataiacha imani yao, watasalitiana na kuchukiana. Watatokea manabii wengi wa uongo watakaowapotosha watu wengi.

Free Reading Plans and Devotionals related to Mathayo 24:9-11