YouVersion Logo
Search Icon

Mwanzo 49:22-23

Mwanzo 49:22-23 SCLDC10

“Yosefu ni kama mti uzaao, mti uzaao kando ya chemchemi, matawi yake hutanda ukutani. “Wapiga mishale walimshambulia vikali, wakamtupia mishale na kumsumbua sana.