YouVersion Logo
Search Icon

Kumbukumbu la Sheria 8:3

Kumbukumbu la Sheria 8:3 SCLDC10

Aliwanyenyekesha, akawaacha muone njaa na baadaye akawapa mana mle, chakula ambacho hamkukijua, wala babu zenu hawajapata kukijua. Alifanya hivyo ili apate kuwafundisha kuwa binadamu haishi kwa mkate tu, bali kwa kila asemalo Mwenyezi-Mungu.