YouVersion Logo
Search Icon

Kumbukumbu la Sheria 8:16

Kumbukumbu la Sheria 8:16 SCLDC10

Tena ndiye aliyewalisheni mana jangwani, chakula ambacho babu zenu hawakupata kukijua. Alifanya hayo yote ili awanyenyekeshe na kuwajaribu, ili kuwapima apate kuwajalia mema mwishowe.

Free Reading Plans and Devotionals related to Kumbukumbu la Sheria 8:16