YouVersion Logo
Search Icon

Kumbukumbu la Sheria 8:12-14

Kumbukumbu la Sheria 8:12-14 SCLDC10

Mkisha kula mkashiba, mkajijengea nyumba nzuri na kuishi humo, na wakati ambapo ng'ombe na kondoo wenu, dhahabu na fedha yenu, na kila kitu mlicho nacho kitakuwa kimeongezeka, msiwe na kiburi na kumsahau Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliyewatoa katika nchi ya Misri, mahali mlipokuwa watumwa.