YouVersion Logo
Search Icon

Kumbukumbu la Sheria 10:17

Kumbukumbu la Sheria 10:17 SCLDC10

Maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ndiye Mungu wa miungu na Bwana wa mabwana. Yeye ni Mungu mkuu na mwenye nguvu, na wa kuogofya; hapendelei wala hapokei rushwa.

Free Reading Plans and Devotionals related to Kumbukumbu la Sheria 10:17